Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni katika banda
la AICC katika maonesho ya KImataifa ya Biashara yanayoendelea katika viwanja
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa
Jakaya Kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa Kituo cha Kimataifa
cha Mikutano cha Arusha (AICC), Ekaeli Mbise baada ya kutembelea banda la AICC.
Wafanyakazi wa AICC na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa katika picha ya pamoja na Mheshimiwa Rais
Kikwete baada ya Rais kutembelea banda la Wizara na AICC katika maonesho ya
KImataifa ya Biashara yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam.




No comments:
Post a Comment