Mkulima
Prisca Lokweni akieleza juu ya zao la alizeti na faida zake
kiuchumi, zao hilo linatumika kutengeneza mafuta ya kupikia pia
linahimili ukame ,akiwa katika vipando vya kampuni ya kuzalisha mbegu ya
Suba Agro katika eneo la Njiro Nane Nane. (Picha na Ferdinand Shayo)
Mkulima
Prisca Lokweni akieleza juu ya zao la alizeti na faida zake
kiuchumi, zao hilo linatumika kutengeneza mafuta ya kupikia pia
linahimili ukame ,akiwa katika vipando vya kampuni ya kuzalisha mbegu ya
Suba Agro katika eneo la Njiro Nane Nane.
Mkulima
Prisca Lokweni akieleza juu ya zao la alizeti na faida zake
kiuchumi,zao hilo linatumika kutengeneza mafuta ya kupikia pia
linahimili ukame ,akiwa katika vipando vya kampuni ya kuzalisha mbegu ya
Suba Agro katika eneo la Njiro Nane Nane.
Mtaalamu
wa kilimo Agnes Kibwana akifafanua juu ya kilimo cha ndizi aina ya
grandnine ambayo hutumiwa kwa lishe na huwasaidia wakulima kuinua
kipato, migomba hiyo iko kwa vipando vya kituo
cha kueneza teknolojia ya kilimo Kanda ya Kaskazini (ATTC) kilichopo katika eneo la Njiro Nane Nane.
No comments:
Post a Comment