HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 16, 2014

MBUNGE DK. MARY MWANJELWA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO-MBEYA

 MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary Mwanjelwa, akihutubia wananchi na wachezaji wa timu ya Isyesye na Veta jana, katika uwanja wa Isyesye, Vingunguti Relini Jijini Mbeya, wakati wa kukabidhi jozi moja ya jezi na mipira mitano kwa timu ya Isyesye Jijini Mbeya. (Picha na Gordon Kalulunga)
MBUNGE viti maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary Mwanjelwa, akipiga penalti kwa ustadi mkubwa, baada ya kuhutubia wananchi na wachezaji wa timu ya Isyesye na Veta jana, katika uwanja wa Isyesye, Vingunguti Relini Jijini Mbeya, na kukabidhi jozi moja ya jezi na mipira mitano kwa timu ya Isyesye Jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Pages