Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa
timu ya taifa inaondoka Julai 16 kwenda Glasgow, Scotland kushiriki Michezo ya
Jumuiya ya Madola, Suleiman Kidunda. Hafla hiyo imefanyika Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja wa timu hiyo, Muharami Mchume. (Picha
na Francis Dande)
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Rais Kikwete akizungumza wakati wa hafla ya kuaga timu ya taifa inayokwenda kucheza michezo ya Jumuiya ya Madola.
Wachezaji wanaounda timu ya taifa inayokwenda katika michezo ya Jumuiya ya Madola.
Wachezaji wanaounda timu ya taifa inayokwenda katika michezo ya Jumuiya ya Madola.
Viongozi wa Shirikisho la Riadhaa wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Kikwete.
Wanamichezo wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Kikwete.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Vviongozi na wanamichezo wanaokwenda Glasgow, Scotland katika michezo ya Jumuiya ya Madola.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Vviongozi na wanamichezo wanaokwenda Glasgow, Scotland katika michezo ya Jumuiya ya Madola.
Rais Kikwete akikagua uwanja wa Taifa.
Me3neja wa Uwanja wa Taifa akimpa maelezo Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akiukagua uwanja huo.
Rais Kikwete akiangalia maeneo mbalimbali ya uwanja wa Taifa.
Rais Kikwete akiwasalimia wananchi waliokuwa jukwaani wakati alipokuwa akiondoka kwenye Uwanja wa Taifa.
Rais Kikwete akiruhaia jambo.
No comments:
Post a Comment