Waziri wa Kazi na Ajira Mh Gaudentia Kabaka akisaini katika kitabu cha wageni
katika banda la GEPF.
Meneja
Masoko na huduma kwa wateja katika Mfuko wa Mafao ya Kustaafu wa GEPF Bw Aloyce
Best Ntukamazina akitoa maelezo kwa kina kuhusu mafanikio ya ushiriki katika
maonesho ya sabasaba pamoja na huduma na mafao mapya kwa wanachama wa GEP.




No comments:
Post a Comment