Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe
wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada
ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi
katika Chuo Kikuuu cha Mzumbe Morogoro baada ya kuzindua ukumbi wa
mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya picha yake ya kuchorwa wakati
alipotembelea Chuo Kikuu cha mzumbe ambapo walihutubia wanafunzi,
wahadhiri na wananchi katika chuo hicho baada ya kuzindua ukumbi wa
mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Meza kuu ikifurahia jambo wakati Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa
Mvomero Mhe Amos Makalla akipohutubia wanafunzi, wahadhiri na wananchi
katika chuo hicho wakati Rais Kikwete alipotembelea na kuzindua ukumbi
wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Rais wa Serikali ya
Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mhe Boniface Maiga wakati Rais
Kikwete alipotembelea na kuzindua ukumbi wa mihadhara na jengo la
wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais wa Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Mhe Boniface
Maiga akisoma risala wakati Rais Kikwete alipotembelea na kuzindua
ukumbi wa mihadhara na jengo la wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo la mihadhara la
Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro akisaidiwa na uongozi wa chuo hicho
alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la wahadhiri chuoni
hapo Agosti 25, 2014.
Umati
wa wanafunzi, wahadhiri na wananchi wakimsikiliza Rais Kikwete
akiwahutubia alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la
wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014.
Baadhi
ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro wakiweka kumbumbuku ujio
wa Rais Kikwete alipotembelea hapo na kuzindua ukumbi wa huo jengo la
wahadhiri chuoni hapo Agosti 25, 2014. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment