Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kusomewa mashtaka
yanayowakabili. (Picha zote na Francis Dande)
Kiongozi
wa Jumuiya ya Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto),
akiwa na watuhumiwa wenzake wa kesi ya ugaidi wakitoka katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kusomewa mashtaka
yao.
No comments:
Post a Comment