HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 10, 2014

JK AENDELEA VYEMA NA MATIBABU ANAYOPATIWA HUKO MAREKANI

Habari kutoka hospitalini hapo zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na leo asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni mswano. Tutaendelea kwuashirikisha taarifa ya maendeleo yake mara kwa mara. Tuzidi kumuombea apate nafuu haraka ili arejee nyumbani kulijenga Taifa.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani siku moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume.

No comments:

Post a Comment

Pages