Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu umuhimu wa vitambulisho vya Taifa katika benki. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu. (Na Mpiga Picha Wetu)
Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu akionyesha kitambulisho cha Taifa ambacho kitachochea kuleta maendeleo katika sekta ya kibenki.
Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Mwaimu akifafanua jambo.
No comments:
Post a Comment