HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 17, 2014

KAMATI YA AKINA ZITTO YAKABIDHIWA RIPOTI YA CAG

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia), akiwakabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),  Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe ripoti ya Uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

No comments:

Post a Comment

Pages