HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

November 17, 2014

OPARESHENI DELETE CCM YATIKISA MORO

 Helikopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika mikutano ya Oparesheni Delete CCM, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege mjini Morogoro juzi, ambako kulifanyika mkutano wa hadhara. (Picha zote na Joseph Senga)
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo mkoa wa Morogoror, Susan Kiwanga, akiwahutubia wananchi wa mji wa Morogoro katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ua Msingi Uwanja wa Ndege juzi.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akichangisha fedha kwa wananchi wa mji wa Morogoro, ambao walikubali kukichangia chama hicho katika harakati zake, baada ya mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akipokea mkuki kutoka kwa mmoja wa wazee wa mji wa Morogoro, kumkaribisha katikam mji huo, kabla ya mkutano wa hadhara, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege juzi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hichi Zanzibar, Salumu Mwalimu. (Picha na Joseph Senga)
 Mwenyekiti wa Chama cha Demoikrasia na Maendeleo (Chadema) na Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Salumu Mwalimu (walionyoosha mikono), wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege mjini Morogoro, ambako kulifanyika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM juzi.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo,  (Zanzibar), Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Morogoro katika mkutano wa hadahara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege juzi.

No comments:

Post a Comment

Pages