HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 06, 2014

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, BALOZI

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Dk. Donan Mmbando baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande)
 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Dk. Yonah Budeba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Uvuvi na Mifugo.
 Rais Jakaya Kikwete akisaini hati ya kiapo baada ya kumuapisha Dk. Yonah Budeba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Uvuvi na Mifugo.

 Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Dk. Yonah Budeba baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Uvuvi na Mifugo.
 Mhandisi Mbogo Futakamba akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
 Mhandisi Mbogo Futakamba akipokea vitendea kazi kutoka kwa Rais Jakaya Kikwete kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji. 
 Mhandisi Mbogo Futakamba akipokea shada la maua kutoka kwa Jackline Kidunda kama ishara ya kumpongeza kwa niaba ya wafanyakazi wa Wizara ya Maji baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.
 Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Balozi Jack Zoka kuwa balozi wa Canada katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
 Rais Kikwete akisaini hati ya kiapo.
 Balozi Jack Zoka akipokea vitendea kazi.
 Balozi Jack Zoka akipokea shada la maua.
 Balozi Jack Zoka akizungumza na waandishi wa habari.
 Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na mchezaji wa zamani wa Simba, stevin Mapunda 'Galincha'
 Picha ya pamoja.
Balozi Jack Zoka (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja baada ya kula kiapo cha kuwa balozi wa Canada.

No comments:

Post a Comment

Pages