Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya
Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar
es Salaam kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, Deodatus
Balile na Mhariri wake, Jackton Manyerere (kulia) mara baada ya
kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari
yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar
es Salaam.
:-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Wahariri wa Gazeti la Mwananchi mara baada ya
kumalizika mazungumzo na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya habari
yaliyofanyika kwenye Makazi ya Mhe Makamu wa Rais Oysterbay, jijini Dar
es Salaam.
Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Jackton Manyerere, akichangia mada wakati
wa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, yaliyofanyika nyumbani kwake Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wahariri hao baada ya
mazungumzo.
No comments:
Post a Comment