HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 15, 2014

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF



Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Leonidas Gama, akizungumza na wakazi wa mjini Moshi, baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Bi. Chiku Matessa. (Na Mpiga Picha Wetu)
  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Leonidas Gama, akifungua pazia kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Jengo la Kitega uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mjini Moshi. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Bi. Chiku Matessa na kushoto ni Meneja Miradi wa NSSF Bw. Karrim Mattaka.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Leonidas Gama, akifurahia jambo, baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), mjini Moshi. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Bi. Chiku Matessa.

No comments:

Post a Comment

Pages