HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 23, 2014

MJUMBE KAMATI YA SIASA TAWI LA MAKANGIRA ATOA MSAADA WA JEZI

Mjumbe Kamati ya Siasa tawi la Makangira Msasani, Suzana Msangi (CCM), (kulia), akimkabidhi zawadi ya jezi kiongozi wa timu ya watoto wa  wenye umri chini ya miaka 12 ya Namanga , Omari Hamisi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages