Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika viwanja vya Visitors Inn
Hotel Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja alipofika leo kuzungumza na Mabalozi
na Wenyeviti wa Maskani akiwa katika
ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na
Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
(kushoto) akitia saini kitabu cha wageni leo alipofika katika
ukumbi wa Visitors Inn Hotel Jambiani
Unguja kuzungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani akiwa katika ziara
zake
za kuimarisha Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Mwenyekiti wa
CCM Wilaya ya Kusini Unguja Abdul-Aziz Hamad Vuai.
Wasoma
Utenzi Nezi Khamis na Amina Haji kutoka Jambiani wakihani utenzi wao
wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa Visitors Inn Hotel Jambiani Wilaya
ya Kusini akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika
Mkoa wa Kusini Unguja.
Mabalozi na Wenyeviti
wa Maskani Wilaya ya Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akipokea
utenzi kutoka kwa Amina Haji wakati wa mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa
Maskani katika ukumbi wa Visitors Inn Hotel Jambiani Wilaya
Kusini.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali
Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika ukumbi wa Visitors Inn Hotel Jambiani Wilaya
Kusini akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika
Mkoa wa Kusini Unguja.
No comments:
Post a Comment