HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 11, 2014

WAMILIKI WA BLOGS TANZANIA WACHAGUANA

Mwandishi wa BBC nchini Aboubakar  Famau kulia akiwa katika picha ya pamoja na mmiliki wa mtandao huu wa matukiodaima Bw  Francis Godwin mara baada ya  kuteuliwa  kuwa makamu mwenyekiti wa wamiliki wa Blogs Tanzania 
Mtangazaji wa TBC Shaban Kisu wa pili  kulia akifuatilia  warsha ya TCRA na  Wamiliki wa Blogs nchini 
Baadhi ya  washiriki wa warsha   ya TCRA 
Baadhi  ya  wamiliki wa Blogs nchini wakiwa katika warsha  hiyo leo 
Wanahabari  na  wamiliki wa Blogs nchini  wakifuatilia warsha  hiyo.
Mkurugenzi  mkuu wa TCRA Prof. John Nkoma  akifungua  warsha  hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages