HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 19, 2014

Ukawa wacharuka kashfa ya Escrow

Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma kuhusu hujuma zinazodaiwa kufanywa na Serikali kupitia Bunge, kuzima kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 300, zilizohifadhiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow, kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), isijadiliwe bungeni. Kushoto ni Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) na mbunge wa Mkanyageni (CUF), Mohammed Habib Mnyaa. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Pages