Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akibandika stika yenye namba za simu za Makamanda wa Polisi wa
Mikoa katika basi lenye namba za usajili T 350 CXL lililokuwa likielekea
Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo
Kwinyukwa. Benki ya Posta Tanzania ilikabidhi stika zenye thamani ya sh.
milioni 2.5 kwa ajili ya abiria kuwasiliana na Polisi pindi madereva wanapovunja sheria za usalama barabarani ikiwa
ni pamoja na mwendo kasi. (Picha na Francis Dande)
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akiwaonyesha stika yenye namba za simu za Makamanda wa Polisi wa
Mikoa, abiria waliokuwa wanasafiri na basi lenye namba za usajili T 350 CXL lililokuwa
likielekea Dodoma. Benki ya Posta Tanzania ilikabidhi stika zenye thamani ya sh.
milioni 2.5 ambazo zilibandikwa katika mabasi ya abiria yaendayo mikoani na
nchi jirani.

Mohamed Mpinga akipokea stika maalum zenye namba za makamanda wa Polisi wa Mikoa kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo Kwiyukwa katika hafla iliyofanyika stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akionyesha stika zenye namba za simu za makamanda wa Polisi wa Mikoa zitakazobandikwa katika mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani kwa ajili ya kuwarahisisha mawasiliano kati ya abiria na makamanda wa mikoa pindi madereva wanapovunja sheria za usalama barabarani. Kushoto ni Ofisa Masoko wa Benki ya Posta, Grace Majige.
Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akionyesha stika zenye namba za simu za makamanda wa Polisi wa Mikoa
zitakazobandikwa katika mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani
kwa ajili ya kuwarahisisha mawasiliano kati ya abiria na makamanda wa
mikoa pindi madereva wanapovunja sheria za usalama barabarani. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo Kwiyukwa na Ofisa Masoko wa TPB, Grace Majige.
Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga zenye namba za simu za makamanda wa Polisi wa Mikoa
zitakazobandikwa katika mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani
kwa ajili ya kuwarahisisha mawasiliano kati ya abiria na makamanda wa
mikoa pindi madereva wanapovunja sheria za usalama barabarani. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo Kwiyukwa na Ofisa Masoko wa TPB, Grace Majige.
Stika ikiwa imebadikwa katika basi.
Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akibadika stika maalum zenye namba za simu za makamanda wa Polisi wa Mikoa
katika basi la Machame linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo Kwiyukwa.
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akitoa elimu kwa abiria kuhusu hatua wanazotakiwa kuchukua pindi dereva wa basi anapovunja sheria za usalama barabarani.
Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akishuka katika basi la Machame lenye namba za usajili T350 CXL baada ya kubandika stika. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo Kwiyukwa.
Kamanda wa Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani,
Mohamed Mpinga akizungumza na waandishi wa habari.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Deo Kwiyukwa akizungumza na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment