Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro, Mrakibu Mwandamizi
wa Magereza, Loyce Ruhembe akipokea rasmi msaada wa vitu mbalimbali
vilivyotolewa na Wanahabari hao kwa ajili ya Wafungwa wa kike gerezani
hapo walipotembelea Gereza hilo Desemba 19, 2014. (Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Wafungwa wa kike wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira -Morogoro
wakifuma mashuka katika Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza hilo. Wafungwa hao
wanapitiwa ujuzi wa aina mbalimbali ukiwemo ushonaji wa nguo ikiwa ni sehemu ya
utekelezaji wa Programu za Urekebishaji ndani ya Magereza hapa nchini.
Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Loyce Ruhembe akikabidhi msaada huo kwa Mfungwa wa Kike ambaye ndiye Nyampara Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro. Wafungwa wa Gereza hilo wamewashukru Wanahabari hao kuwatembelea pamoja na msaada huo walioutoa na wameahidi kuwa raia wema mara wamalizapo vifungo vyao. Msaada wa vitu mbalimbali vya Kibinadamu na vinavyoruhusiwa Magerezani vilivyokabidhiwa na Wanahabari walipotembelea Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro Desemba 19, 2014.
Waandishi wa Habari wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa gereza hilo. Mkuu wa Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Loyce Ruhembe akiwakaribisha Wanahabari ambao wakitembelea gerezani hapo Desemba 19, 2014. Wanahabari hao wapo katika ziara ya kikazi katika miradi mbalimbali ya Uzalishaji mali inayotekelezwa kwa mafanikio makubwa na Jeshi la Magereza(kushoto) ni Mkuu wa Magereza Mkoani Mororogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Kato Rugainunula. Muonekano wa mashuka na mito yake yanayofumwa na Wafungwa Wanawake katika Kiwanda cha Ushonaji cha Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro. Wanahabari wakionja chakula cha Wafungwa katika Gereza Kuu la Wanawake Kingolwira - Morogoro walipotembelea Gereza hilo Desemba 19, 2014(kulia) ni Mwandishi kutoka Gazeti la Habari Leo, Bi. Regina Kumba (kushoto) ni Mwandishi kutoka Gazeti la Daily News, Bw. Finning Simbeye (katikati) ni Mwanahabari kutoka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Bi. Rose Mdami.

No comments:
Post a Comment