HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 28, 2014

YANGA YASHINDWA KUITAMBIA AZAM FC, YATOA SARE YA 2-2

Beki wa Azam FC, Pascal Wawa (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zitoka sare ya 2-2. (Picha na Francis Dande)
Winga wa Yanga Simon Msuva, kushoto akiwania mpira na beki Azam Shomari Kapombe, katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Mshambuliaji Yanga Amisi Tambwe akiwania mpira katikati ya mabeki wa Azam.

No comments:

Post a Comment

Pages