Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) akifafanua jambo leo wakati akitoa Tamko la Maadhimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam juzi. (Picha na Francis Dande)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) akifafanua jambo wakati akitoa Tamko la Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Katibu Mkuu wa Chadema, Willibrod Slaa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu kilichokutana juzi.
Prof. Mwesiga Baregu akifafanua jambo.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalimu (kushoto) akibadilishana mawazo na Mtia nia wa Muleba Kaskazini, Ansbert Ngurumo kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari na viongozi wa chama hicho.
Mzee Kimesela akifuatilia mkutano huo.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment