HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 17, 2015

MAENDELEO BANK YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA

Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Ibrahimu Mwangalaba akisoma ripoti ya maendeleo ya bank wakati wa Mkutano Mkuu wa kwanza kwa wanahisa uliyofanyika hivi karibuni Msasani jijini Dar es Salaam wengine waliyokaa mbele ni wajumbe wa Bodi ya wagurugenzi wa Benki hiyo. Mpaka Disemba mwaka jana Amana za Benki zilifika Bilioni 15.8, mikopo ilikuwa 7.6 na jumla ya mali ya Benki ilikuwa Bilioni 19.7
 Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Ibrahimu Mwangalaba akisoma ripoti ya maendeleo ya bank wakati wa Mkutano Mkuu wa kwanza kwa wanahisa (hawapo pichani) uliyofanyika hivi karibuni Msasani jijini Dar es Salaam wengine ni wajumbe wa Bodi ya wagurugenzi wa Benki hiyo. Mpaka Disemba mwaka jana Amana za Benki zilifika Bilioni 15.8, mikopo ilikuwa 7.6 na jumla ya mali ya Benki ilikuwa Bilioni 19.7
Baadhi ya wanahisa wa Maendeleo Bank wakisoma ripoti ya maendeleo ya bank hiyo wakati wa  Mkutano Mkuu wa kwanza kwa wanahisa uliyofanyika hivi karibuni Msasani jijini Dar es Salaam. Hisa moja ni shilingi 600, mpaka Disemba mwaka jana Amana za Benki zilifika Bilioni 15.8, mikopo ilikuwa 7.6 na jumla ya mali ya Benki ilikuwa Bilioni 19.7

No comments:

Post a Comment

Pages