HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 27, 2015

MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU YA MAJIJI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YAANZA DAR

 Kocha ya timu ya Dar City ya Tanzania, Joseph Matle akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati ilipocheza na timu ya KCC ya Uganda kwenye mashindano ya ubingwa wa Majiji kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa. (Picha na Francis Dande)
 Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Jiji la Dar es Salaam ‘Dar City’ ya Tanzania, Nelly Anyingisye akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Kampala ‘KCC’ ya Uganda katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Ubingwa wa Majiji Afrika Mashariki na Kati  kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya Jiji la Dar es Salaam ‘Dar City’ ya Tanzania, Olyin Titus akiwatoka wachezaji wa Kampala ‘KCC’ ya Uganda katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Ubingwa wa Majiji Afrika Mashariki na Kati  kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages