HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 24, 2015

MBOWE AZINDUZI KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wakati wa mkutano wa hadhara uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kitabu cha utekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.
 Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  akizindua kitabu cha ukekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.
Mbowe akihutubia.

No comments:

Post a Comment

Pages