Rais wa Mozambique, Filipe Nyussi akiangalia vikundi vya ngoma.
Raia wa Msumbiji akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa nchi hiyo alipokutana na wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Rais Filipe Nyussi akiwasalimia wananchi wa Mozambique waishio Tanzania.
Wananchi wa Mozambique wanaoishi Tanzania wakiwa katika mkutano na Rais wa nchi yao, Filipe Nyussi ambaye yupo Tanzania kwa ziara ya siku tatu.
No comments:
Post a Comment