HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 01, 2015

SHEREHE ZA MEI MOSI DAR

Wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande)
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akitoa hotuba yake.
 Mfanyakazi Bora wa Kampuni ya Tech Pack, Lamck Sausi akipokea cheti kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.
Wafanyakazi wakiwa katika maadhimisho ya Mei Mosi 2015.
 Konyagi nao hawakuwa nyumba.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakipita mbele ya mgeni rasmi.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akipokea maandamano wakati maadhimisho Mei Day leo.
Magereza Jazz wakitumbuiza.
 Wafanyakazi wa NSSF wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi.
 Wanamuziki wa Bendi ya Magereza Jazz wakitumbuiza katika maadhimisho hayo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akitoa hotuba yake katika maadhimisho hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages