HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 02, 2015

WAZIRI NYALANDU AZINDUA KITUO CHA KUTUNZIA TEMBO WALIOTELEKEZWA



 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akikata utepe kuzindua makazi maalumu yatakayotumika kutunza tembo wadogo ambao wametelekezwa baada ya wazazi wao kuuawa na majangili. Kituo hicho kitakachokuwa chini ya usimamizi wa Idara ya Wanyamapori kitatunza tembo hao na baadaye kuwarejesha mbugani wakikua.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dk. Adelhelm Meru, wakimsikiliza Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress, alipokuwa akizungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya sensa ya tembo jijini Arusha.
Waziri Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuzindua ripoti ya sensa ya tembo.

No comments:

Post a Comment

Pages