HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 02, 2015

BUSUNGU AKARIBISHWA RASMI JANGWANI

 Meneja wa Yanga ,Hafidh Saleh (kushoto) akikabidhiwa jezi namba 6 mshambuliaji  mpya wa timu hiyo, Malimi Busungu wakati wa utambulisho uliofanyika Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Jerry Muro.
 Malimi Busungu akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Jerry Muro.
 Busungu akionyesha jezi yake.

No comments:

Post a Comment

Pages