HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 07, 2015

JAJI MKUU WA TANZANIA OTHUMANI CHANDE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (TANTRADE)

 JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande (katikati) akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara, Jacqueline Maleko, pamoja viongozi wa Tantrade na Mahakama Kuu kutembelea Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
  JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akipeana mkono na  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Jacqueline Maleko,akimkaribisha.
   JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akisalimiana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara TANTRADE,Edwin Rutageruka.
   JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akisalimiana na Ofisa wa TANTRADE.
 JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akisalimiana na Ofisa wa TANTRADE.
 JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande, akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mahakama Kuu.
  JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mahakama Kuu.
  JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akisaini kitabu cha wageni.
  JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande,akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara,Jacqueline Maleko wakati akisisitiza jambo. 
JAJI Mkuu akiongozwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara TANTRADE, Edwin Rutageruka.kutembelea baadhi ya Mabanda.

No comments:

Post a Comment

Pages