HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 04, 2015

MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA LOWASSA MPANDA

Umati wa Wakazi wa Mji wa Mpanda, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa. Picha na Othman Michuzi.

No comments:

Post a Comment

Pages