Hafla hiyo
inayojumuisha mamia ya waumini wa Dini ya Kiislamu kutoka pembe zote za Unguja
huambatana pia na Maulidi ya Kuzaliwa kwa Kiongozi wa Dini ya Kiislamu Duniani
Mtume Muhammad (SAW) wakati wa usiku
ukiwa ni utaratibu wa Dr. Salmin kuandaa
ifikapo Mfunguo Sita wa kila mwaka.
Rais Mstahafu wa Tanzania Mzee Ali Haasn Mwinyi wa Pili kutoka
Kushoto akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa
kwanza kutoka kushoto wakijumuika na waislamu katika Hitma ya Kuwaombea Dua
Waumini waliotangulia mbele ya haki hapo Msikiti wa Ijumaa Kidombo Kijijini kwa
Rais Mstahafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Dr. Samlin Amour.
Wa kwanza
kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Kanal Mstaafu Juma Kassim
Tindwa, Makamu wa Rais Mstaafu wa Tanzania Dr. Moha’d Gharib Bilal na Naibu
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Tano Dr. Salmin Amour kati kati
akibadilishana mawazo na Makamu wa Rais Mstahafu wa Tanzania Dr. Moh’d Gharib
Bilal kushoto na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
nyumbani kwake Kidombo mara baaya ya chakula cha mchana. Picha no
–OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment