Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakiapa kabla ya kusaini Hati
ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam
leo January 1, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mhe George Masaju wakishuhudia Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakiapa
kabla ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa
Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mhe George Masaju wakishuhudia Katibu Mkuu Kiongozi akiwapa maelekezo
Makatibu wakuu na Naibu Katibu namna ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma
mara tu baada ya kuapishwa.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na Makatibu wakuu na
Naibu Katibu wakuu baada ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu
baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment