Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis Kigwangalla akifafanua jambo wakati akitangaza hali ya ugonjwa wa Kipindupindu. (Picha na Francis Dande)
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis
Kigwangala akitoka Makao Makuu ya Kitengo cha Damu Salama.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis
Kigwangala akitoa maelekezo kwa Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa Damu Salama Dk. Abdu Juma.
Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa Damu Salama Dk. Abdu Juma akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Afya.
Mmoja wa wachangiaji wa hiari wa Damu Salama, Ismail Bakari akitoa maelezo kwa Waziri jinsi anavyoguswa na hali ya upungufu wa damu.
Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa Damu Salama Dk. Abdu Juma akimuonesha Naibu Waziri wa Afya jinsi damu inavyoifadhiwa.
Naibu Waziri akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuangalia Makao Makuu ya Mpango wa Taifa wa Damu Salama.
Mkurugenzi wa Shule ya kuibua vipaji vya michezo ya Kumbukumbu ya Lord Baden Powell, Kanali mstaafu Idd Kipingu (kulia), akisalimiana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis Kigwangala walipokutana wakati waziri huyo alipofanya ziara katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis Kigwangala (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mionzi cha Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Flora Lwakatare kuhusu mashine mpya ya CT-Scan alipofanya ziara katika hospitali hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Prof. Lawrence Mseru.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Hamis Kigwangala akiangalia wodi mpya ya ICU wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Taifa muhimbili. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Prof. Lawrence Mseru.
Mtaalam wa Mionzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbi, Medard Mallya akimuonesha mashine ya MRI.
No comments:
Post a Comment