Mkurugenzi wa Maznat Bridal akifungua semina kwa wafanyakazi wake juu ya huduma bora kwa wateja, ujasiriamali na Uwekezaji wa Pamoja iliyofanyika katika hoetli ya Kebbs jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa masoko na uhusioano UTT AMIS akihamasisha Uwekezaji wa Pamoja katika semina ya wafanyakazi wa Maznat Bridal and Beauty Services katika hotel ya Kebbs Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusioano UTT AMIS akihamasisha Uwekezaji wa Pamoja katika semina ya wafanyakazi wa Maznat Bridal and Beauty Services katika hotel ya Kebbs Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment