HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 19, 2016

WAHARIRI WA MAWIO WAPATA DHAMANA

Wahariri wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa na Simon Mkina wakitoka katika Kituo cha Polis Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo, baada ya kupata dhamana kutokana na habari iliyoandikwa Januari 14 mwaka huu yenye kichwa cha habari ‘Machafuko yaja Zanzibar’. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wahariri wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa na Simon Mkina wakiwa na wakili wao Peter Kibatala (kulia), baada ya kupata dhamana kutokana na habari iliyoandikwa Januari 14 mwaka huu yenye kichwa cha habari ‘Machafuko yaja Zanzibar’. 

1 comment:

  1. Nape atuambie kama ameshawakamata na kuwafikisha mahakamani wana CCM waliopita mbele ya viongozi wakuu wa nchi hii na bango la kibaguzi kwa wananchi wa Pemba. Tukio hilo limeijengea Tanzania taswira mbaya kimataifa na wananchi tuliliona bango na kusikitika sana wakati Rais Sheni analipokea kwa furaha na kwa mizinga 21. Auambie umma, vinginevyo haya anayoyafanya .....................

    ReplyDelete

Pages