Golikipa wa Ndanda FC, Jeremia Kishubi akiokoa moja ya hatari langoni mwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na Habari Mseto Blog)
Golikipa
wa Ndanda FC, Jeremia Kishubi akiokoa moja ya hatari langoni mwake
katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 1-0.
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akidhibitiwa
na beki wa Ndanda FC, Kassian Ponera wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga
ilishinda 1-0.
Mshambuliaji wa Yanga Kigi Makaysi akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Yanga.
Simon Msuva akimiliki mpira.
Mshambuliaji wa Yanga Kigi Makaysi akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Yanga.
Simon Msuva akimiliki mpira.
Kikosi cha Ndanda FC.
Kikosi cha Yanga.
No comments:
Post a Comment