Beki wa Ndanda FC, Kassian Ponera (juu) akikabiliana na
mshambuliaji wa Azam Kipre Tchetche wakati wa mchezo wa Ligi Kuu
Tanzania Bara uliofanyika kwenye uwanja wa Azam Complex Chamanzi Dar es Salaam
juzi. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. (Na Mpigapicha Wetu)
Wachezaji wa Azama wakishangilia moja ya mabao waliofunga.
No comments:
Post a Comment