Naibu
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Tulia Mwansasu
akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Mabonde mjini
Tukuyu Wilayani Rungwe shule aliyosoma mwaka 1984-1990 na kutoa msaaada
wa shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati wa madarasa. (PICHA NA
KENNETH NGELESI)
Naibu Spika, Dk Tulia Mwansasu akiwa
katika picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya Msingi Mabionde aliyosma
mwaka 1984-1990 na kutoa msaada wa shilingi milioni tano kwa ajili ya
ukarabati madarasa.
Naibu Spika wa Bunge wa Jumuhuri wa Tanzania, Dk Tulia Mwansasu akiwa
katika picha ya pamoja wanafunzi wa shule ya Msingi Mabionde aliyosma
mwaka 1984-1990 na kutoa msaada wa shilingi milioni tano kwa ajili ya
ukarabati madarasa.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabonde mjini
Tukuyu, Rungwe wakimisikiliza Naibu Spika Dk. Tulia Mwansasu hayupo
katia picha alitembelea shule hio ambayo alisoma kati ya mwaka
1984-1990 na kutoa masaada wa shilingi milioni tano (5) kwa ajili ya
kufnya ukarabati wa madarasa.





No comments:
Post a Comment