
Mkurugenzi wa Biashara wa Twiga Cement, Simon Delens (wa pili kushoto), akimkabidhi cheti cha ushindi wa mifuko 400 ya saruji mshindi katika droo ya pili ya Jijenge na Twiga, Faibek Martin, katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam. Jumla ya washindi watatu walifanikiwa kujishindia mifuko 1200 kupitia droo hiyo.
Mkurugenzi wa Biashara wa Twiga Cement, Simon Delens (kushoto), akimkabidhi cheti cha ushindi wa mifuko 400 ya saruji mshindi katika droo ya pili ya Jijenge na Twiga katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam . Jumla ya washindi watatu walifanikiwa kujishindia mifuko 1200 kupitia droo hiyo.


No comments:
Post a Comment