HABARI MSETO (HEADER)


August 04, 2016

WAKAZI WA LINDI WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA NSSF

 Ofisa Uwekezaji Kitengo cha Mauzo ya Nyumba wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Munira Omary (kulia), akimpa maelezo mmoja wa wakazi wa Lindi aliyetembelea kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi juu ya ununuzi wa nyumba kwa njia ya mkopo, mwanachama anaweza kununua nyumba hizo kwa kulipa kidogokidogo kwa miaka 15 akiwa anaishi ndani ya nyumba hizo. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Pages