HABARI MSETO (HEADER)


August 06, 2016

WENGI WAJIUNGA NA NSSF MKOANI LINDI

Afisa Matekelezo Mkoa wa Lindi, Adam Mbena akichukua taarifa za mwanachama mpya wakati akimuandikisha kwenue maonesho ya nanenane mkoani Lindi.
Afisa wa NSSF mkoani Lindi Saad Juma akimsaidia mwanacha aliyekuwa akijaza fomu ya NSSF ili kujiandikisha kwenye maonesho ya Nanenane Mkoani Lindo.
Ofisa Uwekezaji Kitengo cha Mauzo ya Nyumba, Munira Omary akimuelezea Meneja wa NSSF mkoa wa Lindi, Nour  Aziz kuhusu uuzaji wa nyumba na viwanja alipotembelea kwenye banda LA NSSF kwenye maonesho ya Nanenane Lindi.
Afisa NSSF mkoa wa Lindi, Saad Juma akimuandikisha mwanachama mpya kwa kutumia teknolojia mpya ya Kifaa kiitwacho Tazpad wakati wa maonesho ya nanenane mkoani Lindi.
Ofisa NSSF mkoani Lindi, Saad Juma akiwa amezungukwa na watu wanaosubiri kujiandikisha na NSSF kwenye maonesho ya nanenane yanayoendelea Lindi.
Meneja wa NSSF mkoa wa Lindi Nour Aziz (katikati) akiongea na mmoja wa wakazi wa Lindi waliokuja kujiandikisha na NSSF kwenye maonesho ya Nanenane mkoani Lindi.
Ofisa Uwekezaji Kitengo cha Mauzo ya Nyumba wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Munira Omary (kulia), akimpa maelezo mmoja wa wakazi wa Lindi aliyetembelea kwenye banda la NSSF kwenye maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi juu ya ununuzi wa nyumba kwa njia ya mkopo, mwanachama anaweza kununua nyumba hizo kwa kulipa kidogokidogo kwa miaka 15 akiwa anaishi ndani ya nyumba hizo. 

No comments:

Post a Comment

Pages