HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 20, 2017

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MBULU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimiana wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Singiland wilayani Mbulu wakati alipowasili kwenye uwanja wa michezo wa Mbulu kuhutubia Mkutano wa hadhara, Februari 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Mbulu mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment

Pages