HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 02, 2017

Ng'ombe 600 wachinjwa Sikukuu ya Eid el Hajj jijini Dar es Salaam

Mmoja kati ya kundi kubwa la ng’ombe akishushwa baada ya kuwasili katika eneo la kuchinja mapema
Tukio la kuchinja likiambatana na dua linaendelea
Waandaaji wa nyama iliyochinjwa katika siku ya kuchinja ambayo ni sikukuu ya Idi ambayo pia huambatana na hija. Waislamu duniani kote leo wanasherehekea Sikukuu ya Idi.
Wasimamizi wa kugawa nyama iliyojinjwa kama sadaka leo katika kituo cha Shule ya Feza Boys iliyoko Kunduchi, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Tukio hilo hufanyika kila mwaka katika kuadhimisha sikukuu ya Eid. Ng’ombe hukusanywa kutoka kwa wafugaji mbalimbali nchini kwaajili ya kukamilisha tukio la kuchinja ili kutoa sadaka.

PICHA ZOTE NA BLOG YA IMMA MATUKIO

No comments:

Post a Comment

Pages