HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 06, 2017

RAIS MAGUFULI KIWANJA CHA NDEGE BUKOBA

 Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uhandisi na Ufundi, Mhandisi Mbila Mdemu (kushoto) akielekeza michoro ya mradi wa Kiwanja cha Ndege cha Bukoba iliyokuwa ikitajwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Bw. Richard Mayongela (katikati) huku Mhe. Rais John Magufuli (kulia).
  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela  (aliyeshika mic) akimkaribisha Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. John Magufuli ili apate maelezo ya mradi wa kiwanja cha Ndege cha Bukoba kabla ya uzinduzi.
Rais John Magufuli na Mama Janet Magufuli wakikata utepe wa kuzindua kiwanja cha Ndege cha Bukoba.
Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Rais John Joseph Magufuli mara baada ya kuzindua kiwanja cha Ndege cha Bukoba.

No comments:

Post a Comment

Pages