Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco Dkt. Alexander Kyaruzi
alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito
Mwinuka alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mwakilishi wa Balozi wa Japani nchini Bw. Hiroyuki
alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll
eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Segerea Mhe. Bonna Kaluwa alipowasili
kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Nishati Mhe.
Dunstan Kitandula alipowasili kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240
wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nishati Dkt. Menard kalemani kabla
ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco Dkt.Tito
Mwinuka kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania
(Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Nishati Dkt. Menard Kalemani na Naibu Waziri wa Wizara hiyo
Mhe. Stanlaus Nyongo akitembezwa kukagua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Meneja Miradi wa Shirika la Umeme Tanzania
(Tanesco), Mhandisi Steven Manda kabla ya kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua
mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini
Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibofya
kitufe kuashiria kuzindua rasmi mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Bila
kujali mvua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na mamia ya wananchi waliojitokeza kushuhudia
akizindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la
Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi
na wadau wengine wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kuzindua mradi wa

na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Wananchi
wakijumuika katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240
wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Wananchi
wakijumuika na wafanyakazi wa TANESCO katika sherehe za kuzindua mradi
wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar
es salaam leo Aprili 3, 2018

Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Viongozi na wadau wengine wakiwa katika sherehe za kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Burudani
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akikaribisha wageni wake
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mwenyekiti
wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Mama Kate kamba akisalimia katika
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo
la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Sehemu
ya wanahabari katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Katibui
Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. hamisi Mwinyimvua akitambulisha wageni
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Mama
Janeth Magufuli akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa
kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es
salaam leo Aprili 3, 2018
Makatibu
Wakuu wakitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge Kudumu ya Nishati Mhe. Dunstan Kitandula
akitambulishwa katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Wabunge
wa mkoa wa Dar es salaam katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha
umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo
Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza
mwakilishi wa Balozi wa Japan Bw. Hiroyuki Kubota kwa hotuba yake kwa
Kiswahili fasaha katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW
240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3,
2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi
ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza
kuu akipiga makofi katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme
MW 240 wa Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili
3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
wimbo katika sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga
baada ya sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa
Kinyerezi ll eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Mama Kate Kamba baada ya
sherehe za kuzindua mradi wa kuzalisha umeme MW 240 wa Kinyerezi ll eneo
la Kinyerezi jijini Dar es salaam leo Aprili 3, 2018
|
No comments:
Post a Comment