Ofisa
Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS PLC, Bi. Martha Mashiku, akitoa elimu ya
uwekezaji wa pamoja kwa wastaafu watarajiwa wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania katika Ukumbi wa Mkutano wa Hoteli ya Kings Way mkoani
Morogoro. (Na Mpiga Picha Wetu).
Baadhi ya washiriki wakipata elimu juu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa wastaafu watarajiwa wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania.
No comments:
Post a Comment