Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mbunge wa Makete
Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Makete
Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es Salaam akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumjulia hali leo tarehe
22/9/2018.






No comments:
Post a Comment