Kiungo wa Simba, Clatous Chama akiifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Said Powa).
Wachezaji wa Simba, Emmanuel Okwi (kushoto), Shiza Kichuya (katikati) na Clatous Chama, wakishangilia bao la pili lililofungwa na Okwi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Stand United uliopigwa leoUwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kiungo wa Simba, Clatous Chama, akipeana mikono wa kocha wake baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
Furaha ya ushindi.










No comments:
Post a Comment