HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 14, 2019

DAWASA YATATUA TATIZO LA MAJI KATA YA WAZO NA VITONGOJI VYAKE JIJINI DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wakati alipotembelea Tenki la maji la Wazo na kuwahakikishia Watapata maji kama walivyoahidiwa na Afisa Mtendaji wa DAWASA. Picha zote na Cathbert Kajunason/MMG.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza mbele ya wananchi wa Tegeta Wazo na kuwahakikishia maji safi na salama kufikia leo usiku.
 Mmoja ya wananchi akitoa shukrani mara baada ya kumaliza mkutano. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa pili toka kushoto) akiwa na wananchi wakikagua maji yaliyokuwa yakitolewa katika tanki la maji ili kuweza maji safi tayari kuwasambazia wananchi.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakishuka kutoka katika tanki la maji.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakikagua umaliziaji wa bomba ili kuweza kuwapatia maji wakazi wa Kata ya Madale na vitongoji vyake.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati alipotembelea tenki la maji la Wazo.
Pampu za maji zilizofungwa ili kuweza kuwasambazia wananchi maji.

No comments:

Post a Comment

Pages